banner
May 9, 2019
100 Views

‘POGBA’ amejiShoot

Written by
banner

Fighter mmoja wa Al Shabaab anajiita Omar ‘Pogba’ alijiShoot Sunday usiku after game ya Man U na Huddersfiled. Omar ni fan wa Manchester United na alikasirika sana after wao kuDraw na Huddersfield.

Kulingana na beste yake, Omar alikua ameweka bet kwa Mancheser akifikiria itashinda. Walikua wanaWatch game kwa tent ya sonko wao mmoja na ilisemekana alitoka nje mbio kama ameshika kidungi yake na akaingia kwa tent yake. Kidogo kidogo watu waliskia rithe zimelia na wakakimbia kujificha wakifikiria wameVamiwa. After a few minutes Al Shabaab mmoja alitokea na akaShout ‘Pogba amejiMurder’. maAlshabaab wengine walikimbia kwa tent yake na wakampata amelala kwa chini akiBleed vibaya kutoka kwa kifua. Alikua anajaribu kujiShoot kwa roho.

Alshabaab imekataza watu kuWatch ball ama kuSupport team za ball, walisema hizo ni vitu ‘Haram’. Al Shabaab wanatabia ya kukataza wasee kufanya vitu zenye wao wenyewe wanafanya, kama Kucheza kamari, kuBet, kutumia maDre na ushoga mingi ndani ya kambi zao juu ya kukosa madem.

Article Categories:
Epuka Sheng
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *