Al Shabaab InaMurder Waislamu

Raia wa Somalia wameProtest kuhusu hii story ya Al Shabaab kuMurder waSomali. Juzi juzi Al Shabaab imeAttack na kuChoma maBiashara, hao na Mosque za wasee wa Mogadishu na mahali zingine huko Somalia.

Al Shabaab imekua ikilipua watu na bomb za kubebwa na Dinga, kurusha maGrenade kwa soko, kuShoot wasee kiholela na kukata wasee vichwa. Hawa maGaidi wanafanya ivi juu Raia wa Somalia wamekataa kuJoin Al Shabaab.
Kitu ya kushangaza ni ati, maGaidi wengi wa Al Shabaab ni raia wa Somalia na wao ndio wa kwanza kuMurder raia wenzao.

Raia wa Somalia wanadai Al Shabaab haipendi maendeleo na wanazidi kutesa waSomali wenzao. Mateso mbaya mbaya kama kuKidnap na kuRape waMother, kulazimisha madem wadogo wakue maPoko na pia kuua maParo wenye wanakataza watoi wao kuingia Al Shabaab.

AMISOM na Gava ya Somalia imesema haitachoka kuFight ugaidi mpaka wamalize Al Shabaab kabisa. Raia ya Somalia pia wamesema watasaidiana na Gava yao kumaliza Ugaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Powered by WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: