banner
Aug 13, 2018
143 Views

Radicalization Mob Inahappen Kwa Mauniversity Na Colleh

Written by
banner

Colleh na Campo hazikuangi all about kusoma na kufanya exams, inakuanga time poa ya kuMeet wasee wengine na kukua na experiences mpya. Joy Alunga, alikua participant kwa compe ya LengaUgaidi Na Talanta, alisema aliJoin hii short film competition ndio achanue maBeste wake that radicalization pia ina Happen kwama Colleh na Campo.

“Si wasee wamechizi ndio hukua Radicalized; Ni wasee ka sisi. Waseehu Dunga poa kila siku kama mimi ndo hukua radicalized. Sii watu hawajaenda chuo. Ni wasee wamesoma kama sisi” Joy alibonga.

Alunga, akiongelesha Organizers wa hio competition, alisemamaYut wanafaa wakue mbele kwa hii vita against Terrorism. Radicalization na Violent Youth extremism ndo zilikua theme za hio Compe.

“ma Yut wengi wanakua Radicalized juu ya disappointment za Society na kuLose hope na maisha na ndo maana wana Ingia hizi extremist groups kama Al Shabaab” Joy aliendeleakusema.

Wasee wanaingiza maYut Al Shabaab wanaendaga kwa maColleh ama Uni alafu wanaTarget wale maStudeh maChoppi na hawanakakitu kwao. Gava inasema by January 2018 ma Studeh 54 wa Uni na Colleh walikua wameacha chuo na kuJoin terror groups za Somalia na Libya in the last three years. Wengiwao wame Dedi kwa vita ama kumadwa after ku Katsiana na maCommander wa hizi maTerror groups.

Alunga aliambiwa maYutwa kae Radar nahizi propaganda za maGaidi na teachings za Quran kutumiwa vibaya.

 

Article Categories:
Radicalisation
banner

Comments to Radicalization Mob Inahappen Kwa Mauniversity Na Colleh

  • I like it. Any time mkiwa na event mnaweza nialika, spoken word artist

    Kinglemah.com August 23, 2018 10:18 am Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *