banner
Jul 30, 2019
503 Views

Wakenya wako Al Shabaab wanaSuffer

Written by
banner

Wakenya kibao wenye wako Al Shabaab wamekua wakihangaika after mdosi wao Sheikh Ahmed Iman auliwe na missile ya US Airforce. Hawa Wakenya wanashindwa kama warudi home ama waendelee kuFight. maAlshabaab kadhaa washaanza kubonga na wasee wa ISIS. Inasemekana wanaeza join hiyo group kukiendelea ivi.

Wakenya wako Al Shabaab wako kwa noma juu wadosi wa Al Shabaab walisema wakenya ni maSpy wa KDF na AMISOM. Wasee kama 20 wanangoja kunyongwa ama kuShootiwa mbele ya wasee wakipatikana guilty.

Juu ya hizi story, Wakenya wanaingia Al Shabaab wameReduce sana sana after Ahmed Iman ameMadwa. Ripoti kutoka huko zinasema kuna wadosi wanapenda kutesa watu na kutumia wakenya kama example. Inasemekana pia wanapenda kuchinja binadamu wakifanya Sacrifice za blood.

After Ahmed Iman kudedi, magaidi wengi kutoka nje ya Somalia walianza kukosana. Wengine wakaHamia Syria wakaingia ISIS. Mashida za clan huko Somalia ndio zina changia magaidi kuhepa Al Shabaab na kuingia ISIS. Hii imefanya Al Shabaab ikakua weak juu hawana magaidi wengi wa kuwaFightia

Article Categories:
Epuka Sheng
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *