banner
Jun 27, 2019
705 Views

Gaidi mlevi alisahau switch ya bomb

Written by
banner

Gaidi mmoja wa Al Shabaab alishikwa na majeshi wa Ahlu Sunna Wal-jama akijaribu kujilipua kuCelebrate magaidi wa Sufi wenye walikua maAl Shabaab. Reports zinasema alikua ameenda kujilipua karibu na maVIP.
Inasemekana huyo msee alijifanya anaenda kuChukua microphone kuomboleza wadosi wa ASWJ wenye waliDie. Waislamu wa Sufi ndio inasemekana wanaokolea sana majeshi wa AMISOM na majeshi wa Somalia federal governement kwa hii vita ya Al Shabaab.
Huyo Gaidi, wasee wanasema, alikua maji na amechomeshwa maNdom mob sana kabla atumwe kwenda kujilipua. Kwa bahati mzuri, ama mbaya kwake, alikua amesahau Switch ya hio bomb alikua amejifunga kwa kifua kwa hio place alikua anakata maji.
After kushikwa na kupewa beating viProper alipeleka hao maSoldier wa ASWJ place yao ya kujificha na hapo ndio switch ya hio bomb ilipatikana. Alisema alikua ametumwa na wadosi wa Al Shabaab. Security iko chonjo hiyo area na Gava imeanza kusaka hao maGaidi wengine alikua ana Work nao.

Article Categories:
Epuka Sheng
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *