banner
May 16, 2019
676 Views

Ma-Alshabaab Wakenya kuSurrender after Ahmed Iman Kuuliwa

Written by
banner

Wakenya wengi wenye waliJoin Al Shabaab wanaHangaika sana after mdosi wao, Ahmed Iman, Kuuliwa. Ahmed Iman alikua anasimamia department ya Propaganda na Fake News ndani ya Al Shabaab. Alikua anatumia videos kwa Social Media kuChocha maVijanaa waKenya waingie Al Shabaab.

waKenya wako kama 40 percent ya magaidi wote wako Al Shabaab, wanashangaa kama wataSurrender kwa Jeshi ya Somalia ama warudi Kenya. Gaidi mmoja kutoka Garissa akiSurrender aliambia makarao wa Anti-Terror police Unit ati, waKenya wengi wako Al Shabaab wamechoka na Al Shabaab juu waliEnjoyiwa kuna form kabla wangie alafu wakaDiscover ni uwongo. Alisema wasee wengi wangekua washaJitoa nivile Ahmed Iman alikua anawasuka wabaki akiwadanganya kutakua na mazuri vita ikiisha. Sasa juu ameDedi, hawana hope, wanaSkia tu kurudi mtaa.

Ahmed Iman, alikua na nickname ingine, Abu Zinira Al-Kenyi, alikua mkubwa sana huko Al Shabaab. Alikua ametoka Majengo hapa Nairobi na alikua na NGO yake inaitwa Muslim Youth Centre(MYC). Ahmed Iman aliGradate kama Engineer Kenyatta University.
Siku za kwanza kwanza alianza kuMake tuVideo twa Kiswahili akiChocha maVijanaa waende Somalia wakaFight kama maCommando. Alikua anadanganya watu ati Al Shabaab itakuja kuTake over major cities hapa Kenya.
Wadosi wengine walianza kuMshuku anaeza kua Spy wa KDF na ikasemekana amehepa Somalia juu Al Shabaab inataka kumMurder.
Iman pamoja na wadosi wengine wa Al Shabaab waliuliwa na missile ya drone kama wamejificha building fulani place inaitwa Bu’aale huko middle Juba.

Article Categories:
Epuka Sheng
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *