banner
Sep 24, 2018
578 Views

SHENG: Al Shabaab Inakidnap Residents Wa North Eastern

Written by
banner

Kesi za wasee kupotea huko North Eastern zimekua mob tu sana. Ripoti zinatufukia zinasema watu wa hii area wanapotea wakiingizwa Al Shabaab cha lazma.

After ripoti zilitokea za members wa Al Shabaab kuuliwa juu ya wivu, chuki na kuekelewa wao ni Spy wa KDF na AMISOM, wengi wamehepa hio group. Members wao kupungua ndio ilifanya Al Shabaab waanze kuKidnap wasee wakiwaForce wakue members na suicide bombers cha lazma.

Al Shabaab imekua specific na wasee inataka. WanaTarget sana Imams, watoi wadogo kuanzia six years na madem sana sana kutoka Wajir na Garissa juu hii county ziko karibu na border ya Somalia. Wasee wenye wanapotea, wengi wao inasemekana wako kambi za Lower Jubba na Jilib kulingana na majeshi wako hiyo region ya Somalia.

WakiCome kuKidnap, Al Shabaab wanavaanga nguo kama za makarao, KDF ama maSoldier wengine wa AMISOM. Hii ndio inafanya raia wa hiyo Area wafikirie ni Makarao ama KDF ndio imeshika wasee. Hizi ripoti pia ziliendelea kusema, Al Shabaab inatafuta sana Imams na maSheikhs ndio wasaidie kuDanganya maYouth wa hio area. Pia inataka sana watoi na madem ndio Al Shabaab isikose members in the future.

maSoldier wa Somali National Army wamesema watafanya kazi na AMISOM kuSave hao wasee wameKidnapiwa na kupunguza hizi ngori za kidnapping. AMISOM pia imechapia raia wa hizi area wasaidie makarao kutambua hawa maGaidi wanaKidnap wasee.

Article Categories:
Epuka Sheng
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *