banner
Aug 17, 2018
343 Views

Gaidi Wa Al Shabaab Kutoka Kenya Ameuliwa Ju Ya Manzi

Written by
banner

Gaidi wa Al Shabaab kutoka Kenya ameMadwah na gaidi beste yake after waliKatsiana ju ya Manzi. Wenye walicheki hio ngori ikiHappen wanasema hao wawili walianza matusi na kuskumana, kidogo kidogo mmoja wao akatoa mChuma akachapa beste yake rithe kadhaa za kifua mpaka akaAnguka chini. Akiwa chini, alikuja akamChapa rithe ingine ya kichwa kuMake sure ameDedi kabisa.

After uchunguzi kufanyika, ilijulikana ati hawa wasee wawili walikua wanakatia Dame mmoja huko Somalia. Huyo gaidi mSomali hangekubali huyu mKenya aende na huyo dame mSomali ata kama yeye ndio alimKatia wa kwanza. Hii ndio reason aliua huyo mKenya.

Wasee wa hio mtaa huko Somalia walisema Al Shabaab wanachukuanga maDame waSupuu wanawalizimisha wakue maWife wao na ati hii ndio zile shughuli kidogo zimefanya watu waPigane risasi.

waKenya kadhaa wameteswa na kuUliwa na hawa maGaidi waSomali ju ya wivu na chuki wakidai Somalia ni mtaa yao na hawataki wasee wa Nchi zingine. Mara mob wanaEkelea waKenya ati wana waUza kwa makarao na maSoldier wa AMISOM.

Article Categories:
Epuka Sheng · Kenya
banner

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *